99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yafaulu kurusha satelaiti 16 zikiwemo satelaiti ya Jilin No.1 Gaofen 03D09 kwa mara moja (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2022
China yafaulu kurusha satelaiti 16 zikiwemo satelaiti ya Jilin No.1 Gaofen 03D09 kwa mara moja

Saa 6:50 mchana wa tarehe 10, Agosti kwa saa za Beijing, China ilifaulu kurusha satelaiti 16 zikiwemo satelaiti ya Jilin No.1 Gaofen 03D09, Yunyao No.1 04-08 kwa maroketi ya Yao No.10 ya Changzheng No.6 kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Taiyuan. Satelaiti hizo zimeingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa katika anga ya juu na kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri.

(Picha na CFP) 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha