99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkutano wa 5G wa Dunia 2022 wafunguliwa (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 10, 2022
Mkutano wa 5G wa Dunia 2022 wafunguliwa
(Picha ilipigwa na Zhang Zhexin/People’s Daily Online)

Mkutano wa 5G wa Dunia 2022 utafanywa kuanzia tarehe 10 hadi 12 mwezi huu huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang wa China. Mkutano huo ukiwa mkutano muhimu wa kimataifa katika sekta ya 5G, utakuwa na kaulimbiu ya “Kujenga Mazingira ya Uvumbuzi wa 5G na Kuhimiza Ushirikiano wa Kunufaishana ”, na mkutano huo utahusisha mada za sehemu nne za “ushirikiano wa kimataifa”, “5G na viwanda vya kidijitali”, “teknolojia za siku za baadaye” na “5G+ Matumizi yake viwandani ”, ambapo itaitisha mikutano ya mabaraza na makongamano 14 ili kuonesha hali motomoto ya ukuaji wa 5G.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha