99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Utumiaji wa maji yaliyotokea wakati wa kuchimba madini huko Yuyang, Shaanxi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 02, 2022
Utumiaji wa maji yaliyotokea wakati wa kuchimba madini huko Yuyang, Shaanxi
Picha ikionesha ujenzi wa mradi wa kushughulikia maji yaliyotoka kwenye migodi ya makaa ya mawe ya eneo la migodi la Yuheng. (Picha ilipigwa tarehe 31, Julai)

Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Yuyang la Mji wa Yulin wa Mkoa wa Shaanxi lilianzisha ujenzi wa mradi wa utumiaji wa mseto wa maji yaliyotoka kwenye migodi ya makaa ya mawe. Walitumia maji hayo kwa ajili ya ujenzi wa mazingira ya asili, umwagiliaji wa mashamba ya kilimo, kutatua matatizo ya upungufu wa maji kwa maisha na uzalishaji, pamoja na kutatua matatizo ya uchafuzi wa mazingira kutokana na utoaji wa maji taka kutoka kwenye migodi ya makaa ya mawe.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha