99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Vito vyang’arisha Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2022
Vito vyang’arisha Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China
Picha ikionesha nguo inayobandikwa kwa vito kwenye eneo la vito la Jumba la Pili la Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China tarehe 26, Julai. Nguo hiyo inabandikwa kwa almasi 19650 na ilishonwa bila ya kutumia nyuzi.

Maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yanafanyika huko Haikou, China. Vito vyenye thamani kubwa kutoka sehemu mbalimbali duniani vinavyong’arisha maonesho vikivutia macho ya watembeleaji. Kampuni nyingi za vito vinaonesha vito vya aina mpya au vito vyao vyenye thamani kubwa vinavyohifadhiwa nazo, ambavyo vimewashangaza watembeleaji. (Picha zilitolewa na waandalizi wa Maonesho ya Kimataifa ya China ya Bidhaa za Matumizi)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha