99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Pilikapilika za ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi ya Haerbin-Yichun (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 27, 2022
Pilikapilika za ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi ya Haerbin-Yichun
Julai 25, wafanyakazi wakifanya kazi katika uwanja wa kutengeneza boriti wa Yichun wa Idara ya 22 ya Kampuni ya Reli ya China.

Juzijuzi, reli ya mwendo kasi ya Haerbin-Yichun inayopita eneo la udongo barafu imekamilika ujenzi wa mradi wa msingi wa rundo la daraja kutoka Tieli hadi Yichun, na reli nzima itaingia kwenye hatua ya ujenzi wa kuweka boriti.

Reli ya Mwendo kasi ya Haerbin-Yichun inatoka Mji wa Haerbin, na kupita Mji wa Suihua na mwisho kufika Mji wa Yichun, urefu wake ni kilomita 300 hivi ambayo ni reli ya mwendo kasi inayoweka mkazo katika uwezo wa mtandao wa barabara na uwezo wa usarifi wa mijini, pamoja na shughuli za utalii. (Mpiga picha: Zhang Tao/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha