99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Treni iliyobeba magari ya China yaanza safari ya majaribio kutoka Chongqing hadi Moscow, Russia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2022
Treni iliyobeba magari ya China yaanza safari ya majaribio kutoka Chongqing hadi Moscow, Russia
Picha iliyopigwa kutoka angani Tarehe 21 Julai 2022 ikionyesha magari yakipakiwa kwenye treni ya mizigo ya JSQ ya Shirika la Reli la China maalumu kwa mizigo kwenye Kituo cha Yuzui katika Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Tang Yi)

CHONGQING – Treni ya mizigo ya JSQ ya Shirika la Reli la China maalumu kwa mizigo, ikiwa limepakia magari 207 yaliyoundwa na Kampuni ya Changan Automobile ya China, iliondoka kwenye Stesheni ya Yuzui, katika Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China siku ya Alhamisi kwa safari yake ya kwanza ya majaribio kuelekea Moscow, Russia.

Muda wa usafirishaji kutoka Chongqing hadi Moscow utapunguzwa hadi siku 18 kwa kutumia huduma ya treni hiyo ya mizigo inayotoa huduma kati ya China na Ulaya, ikilinganishwa na siku 35 kwa kutumia usafiri wa baharini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha