99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mji wa Shanghai warejesha hali ya kula kwenye mgahawa, migahawa ikifanya maandalizi kwa juhudi (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 29, 2022
Mji wa Shanghai warejesha hali ya kula kwenye mgahawa, migahawa ikifanya maandalizi kwa juhudi

Juni 28, migahawa mbalimbali mjini Shanghai inafanya maandalizi kwa ipasavyo ili kurejesha hali ya kula kwenye mgahawa. Habari zilisema kuwa kuanzia Juni 29, migahawa itafunguliwa kwa utaratibu katika mitaa na maeneo ya Shanghai yasiyo na hatari ya kiwango cha kati ya maambukizi ya virusi vya korona na yasiyogunduliwa kwa watu wanaoambukizwa virusi vya korona katika sehemu zisizo za usimamizi na udhibiti wa janga katika wiki iliyopita.

Picha ikionesha wafanyakazi wakifanya maandalizi mbalimbali kabla ya kurejesha hali ya kula kwenye mgahawa. (Mpiga picha: Zhang Hengwei)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha