99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Jumba la Makumbusho la Mkoa wa Gansu latoa bidhaa za kiutamaduni za sanamu ya shaba ya farasi ya kikale

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 29, 2022
Jumba la Makumbusho la Mkoa wa Gansu latoa bidhaa za kiutamaduni za sanamu ya shaba ya farasi ya kikale
Tarehe 28, Juni, 2022, mtalii akichagua bidhaa za kumbukumbu za sanamu za shaba za farasi za kikale kwenye duka ndani ya Jumba la Makumbusho la Mkoa wa Gansu huko Lanzhou, Gansu, Kaskazini Magharibi mwa China. Sanamu hiyo ambayo iliitwa na watu kuwa ni “farasi anayesimama juu ya mbayuwayu anayeruka”, sanamu hiyo ya asili ya kale ilifukuliwa katika miaka ya 1960 kwenye kaburi ya Leitai ya Enzi ya Han ya Mashariki mjini Wuwei. Hivi sasa sanamu hiyo inahifadhiwa kwenye Jumba la Makumbusho la Mkoa wa Gansu. (Picha/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha