99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Sikukuu ya Ngalawa za Dragon ya kikabila yashereheshwa Guizhou

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2022
Sikukuu ya Ngalawa za Dragon ya kikabila yashereheshwa Guizhou
Tarehe 22, Juni, 2022, ngalawa za dragon zikishindana kwenye mto wa Qingshui huko Shiping, Mkoa wa Guizhou wa Kusini Magharibi mwa China, ili kusherehekea sikukuu ya ngalawa za dragon.

Watu wa kabila la Wamiao wanasherehekea sikukuu ya ngalawa za dragon ya kikabila kwa ajili ya kuomba hali nzuri ya hewa na mavuno. (Picha/Chinanews)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha