99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wa Afghanistan warudi nyumbani baada ya tetemeko kubwa la ardhi wakiona nyumba zilizoharibiwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2022
Watu wa Afghanistan warudi nyumbani baada ya tetemeko kubwa la ardhi wakiona nyumba zilizoharibiwa
Juni 23 kwa saa za huko, mtoto akitoka nje kutoka mlango wa nyumba iliyoharibiwa katika eneo linaloathiriwa na tetemeko la ardhi la Mkoa wa Paktika, Afghanistan.

Habari zilisema kuwa , hadi sasa tetemeko hilo la ardhi limesababisha vifo vya watu zaidi ya elfu moja, wengine elfu kadhaa walijeruhiwa, na nyumba 10,000 hivi zilibomoka.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha