99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Makaburi zaidi ya elfu moja ya kutoka Enzi ya Shang hadi Enzi ya Xihan yagunduliwa Yanyuan, Sichuan (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 20, 2022
Makaburi zaidi ya elfu moja ya kutoka Enzi ya Shang hadi Enzi ya Xihan yagunduliwa Yanyuan, Sichuan
Picha ikionesha kitu cha kale kilichofukuliwa kwenye magofu ya kale ya Laolongtou ya Wilaya ya Yanyuan. (Picha ilipigwa tarehe 19, Juni/Xinhua)

Hadi katikati mwa mwezi wa Juni, 2022, wafanyakazi wa utafiti wa mabaki ya kale wameshughulikia makaburi zaidi ya 1100 ya kutoka mwisho wa Enzi ya Shang hadi mwanzo wa Enzi ya Xihan, na kufukuliwa kwa mabaki ya aina mbalimbali zaidi ya 5000 kwenye magofu ya kale ya Laolongtou ya Wilaya ya Yanyuan, Mkoa wa Sichuan wa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha