99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mradi wa uzalishaji wa umeme kwa nishati mbadala waharakishwa Qinghai (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 14, 2022
Mradi wa uzalishaji wa umeme kwa nishati mbadala waharakishwa Qinghai
Juni 7, 2022, mfanyakazi akifanya kazi kwenye meza ya kutengeneza vipuri vya umemenuru kwenye Wilaya ya Gonghe ya tarafa ya Hainan ya kabila la Watibeti ya Mkoa wa Qinghai, Kaskazini Magharibi mwa China. (Picha/Xinhua)

Katika Wilaya ya Gonghe ya Tarafa inayojiendesha ya kabila la Watibeti Hainan ya Mkoa wa Qinghai, Kaskazini Magharibi mwa China, ujenzi wa mradi wa uzalishaji wa umeme kwa nishati mbadala unaharakishwa kufanyika, ambapo zimechukuliwa hatua za kujikinga na maambukizi ya virusi vya korona.

Mkoa wa Qinghai unajulikana kwa maliasili yake ya nishati ya jua na ya upepo. Miradi hiyo itahimiza maendeleo ya viwanda vinavyotumia nishati mpya vya eneo la Magharibi mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha