

Lugha Nyingine
Yunnan yafanya shughuli za kutangaza na kuonesha urithi wa utamaduni katika “Siku ya Urithi wa Utamaduni na Mazingira ya Asili”
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 13, 2022
Tarehe 11, Juni, wasanii wakicheza ngoma ya kabila la Wadai huko Kunming, Yunnan.
Siku hiyo ilikuwa Siku ya Urithi wa Utamaduni na Mazingira ya Asili, ambapo shughuli za siku tatu za kutangaza na kuonesha urithi wa utamaduni usioshikika za mwaka 2022 zilifanyika kwenye Jumba la Uchoraji la Mkoa wa Yunnan. (Picha/Chinanews)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma