99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maua ya hariri yatumiwa kuwaomboleza waathiriwa wa nguvu ya mabavu ya bunduki Washington, Marekani (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 09, 2022
Maua ya hariri yatumiwa kuwaomboleza waathiriwa wa nguvu ya mabavu ya bunduki Washington, Marekani
Picha hii iliyopigwa Juni 6 ikionesha maua ya hariri karibu na Mnara wa Washington wa Marekani.

Juzijuzi Washington, mji mkuu wa Marekani ilifunguliwa kwa "mrana wa kumbukumbu za madhara ya Bunduki" . Waandaji walifahamisha kuwa, maua ya hariri 45,000 yaliwekwa karibu na Mnara wa Washington ili kuwaomboleza waathiriwa wa madhara ya bunduki nchini Marekani, kuonyesha hali nzito ya madhara ya bunduki, na kuitaka Washington kuacha hali ya kutochukua hatua yoyote dhidi ya madhara hayo.

(Mpiga picha: Aaron/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha