99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Matumbawe yapandwa ili kulinda viumbe baharini huko Hainan, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 09, 2022
Matumbawe yapandwa ili kulinda viumbe baharini huko Hainan, China
Picha iliyopigwa Mei 27, 2022 ikionesha viumbe wa majini wa Kisiwa cha Fenjiezhou cha Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China.

Tarehe 8, Juni ni Siku ya Bahari Duniani. Ili kulinda mazingira ya viumbe hai baharini huko, Mamlaka ya maeneo ya vivutio ya Fenjiezhou, pamoja na watafiti wa bahari na uvuvi, wamekuwa wakipanda na kupandikiza matumbawe tokea Mwaka 2004. Baada ya kulinda na kurejesha hali ya mazingira ya asili kwa miaka mingi, eneo lenye kufunikwa kwa matumbawe kwenye Kisiwa cha Fenjiezhou limeongezeka. Uboreshaji wa mazingira ya mfumo wa ikolojia chini ya bahari umevutia viumbe wengi zaidi wa bahari. (Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha