99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kampuni zaanzisha tena hatua kwa hatua uendeshaji wao kawaida huko Shanghai (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 17, 2022
Kampuni zaanzisha tena hatua kwa hatua uendeshaji wao kawaida huko Shanghai
Picha ikionesha saluni ya kinyozi iliyoko Fengjing ya eneo la Jinshan la Shanghai, Mei 16, 2022. (Picha/Xinhua)

Shanghai inahimiza kurudia kwenye hali ya kawaida kwa biashara na masoko kwa vipindi tofauti kuanzia Jumatatu wiki hii. Supamaketi, maduka makubwa, famasi, masoko ya mazao ya kilimo, migahawa na saluni za kinyozi vinafunguliwa tena hatua kwa hatua katika hali ya kawaida.

Kampuni mbalimbali zitashikilia kanuni za “kufunguliwa tena kwa utaratibu, kuweka ukomo kwa mzunguko wa wateja, kudhibiti kwa ufanisi, kusimamia kwa aina tofauti” huku zikitekeleza hatua za kukinga na kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha