99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ethiopia yasherehekea “Siku ya Wazalendo” (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 07, 2022
Ethiopia yasherehekea “Siku ya Wazalendo”
(Picha inatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Tarehe 5, Mei, watu walishiriki kwenye shughuli za kuadhimisha “Siku ya Wazalendo” huko Addis Ababa, Mji Mkuu wa Ethiopia. Siku hiyo, Ethiopia ilisherehekea “Siku ya Wazalendo” ya 81. Mwezi Mei 5, 1941, wazalendo wa Ethiopia walikuwa wameshinda wavamizi wa Italia chini ya msaada wa jeshi la washirika wao, ambapo Mfalme Haile Selassie I alirudi Addis Ababa akawa mfalme tena. Tangu hapo, Mei 5 imeamuliwa kuwa “Siku ya Wazalendo” ya Ethiopia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha