99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Magari ya kusafirisha mboga moja kwa moja kwa maeneo ya makazi yahakikisha utoaji wa mahitaji muhimu Beijing (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 28, 2022
Magari ya kusafirisha mboga moja kwa moja kwa maeneo ya  makazi yahakikisha utoaji wa mahitaji muhimu Beijing
Wafanyakazi wakipakua mboga kutoka kwenye lori katika kituo cha Magari ya kusafirisha moja kwa moja mboga kwa eneo la makazi la kusini mwa Mtaa wa Beixiaguan wa Eneo la Haidian la Beijing Aprili 27.

Vituo 11 vya Magari ya kusafirisha moja kwa moja mboga kwa maeneo ya makazi ya Mtaa wa Beixiaguan wa Eneo la Haidian la Beijing viliongeza utoaji wa mboga, matunda na mahitaji mengine, na kuongeza muda wa kazi yao ili kuhakikisha mahitaji ya kila siku ya wakazi, Aprili 27. (Mpiga picha: Ren Chao/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha