99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kituo cha Matibabu na Huduma ya Kwanza cha Shanghai chahakikisha matibabu ya umma wakati wa maambukizi ya Korona (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2022
Kituo cha Matibabu na Huduma ya Kwanza cha Shanghai chahakikisha matibabu ya umma wakati wa maambukizi ya Korona
Mhudumu wa afya akifanya maandalizi ya kumwekea dripu mgonjwa kwenye gari la kubebea wagonjwa la kituo cha matibabu ya dharura cha eneo la Minhang la Shanghai, Mashariki mwa China, Aprili 23, 2022.

Kituo cha matibabu na huduma ya kwanza cha eneo la Minhang la Shanghai nchini China kimenunua kwa dharura magari ya kubebea wagonjwa, na kimepeleka madaktari wengi zaidi ili kuhakikisha huduma ya matibabu ya dharura kwa umma ya mji huo wakati wa kuenea tena kwa maambukizi ya virusi vya korona. (Xinhua/Zhang Jiansong)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha