99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

“Mji wa Peponi” uliobadilishwa na Baraza la Boao (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 22, 2022
“Mji wa Peponi” uliobadilishwa na Baraza la Boao
Picha ya juu: Hoteli ya Golden Coast ya Boao ilivyo hivi sasa. Picha ya chini: Hoteli ya Golden Coast ya Boao ilikuwa ikijengwa Mwaka 1997. (Picha/Meng Zhongde)

Tarehe 20, Aprili, mkutano wa mwaka 2022 wa Baraza la Asia la Boao ulifunguliwa rasmi, na Mkoa wa Hainan wa China umeingia rasmi “Saa za Boao”.

Mnamo Mwaka 2001, iliamuliwa rasmi Baraza la Asia la Boao kufanyika mji wa wilaya Boao wa Mji wa Qionghai Mkoani Hainan. Baada ya maendeleo ya zaidi ya miongo miwili, hivi sasa mji mdogo wa Boao umepambwa vizuri zaidi kutokana na majengo mbalimbali yenye mtindo wa eneo la Kusini, barabara pana na za tambarare zimekuwa mtandao unaounganisha pande zote. Kutokana na ujenzi wa miundombinu umekamilika siku hadi siku, na uboreshaji wa uwezo wa mapokezi na kutoa huduma kwa uhakika, Boao imekuwa eneo muhimu la maendeleo ya uchumi wa Qionghai yenye uhai zaidi, miradi muhimu zaidi na shughuli za utalii zinazostawi zaidi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha