99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Waokoaji wamsaidia kurudi baharini nyangumi aliyekwama huko Zhengjiang, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 21, 2022
Waokoaji wamsaidia kurudi baharini nyangumi aliyekwama huko Zhengjiang, China
Picha ikionesha nyangumi aliyekwama akiogelea kuingia bahari huko Xiangshan, Ningbo.

Asubuhi ya Jumatano wiki hii, waokoaji walimsaidia kurudi baharini nyangumi kwenye Wilaya ya Xiangshan ya Mji wa Ningbo mkoani Zhejiang, Mashariki mwa China.

Nyangumi huyo alikwama katika ufukwe wa Xiangshan Jumanne ya wiki hii. (Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha