99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shanghai yabadilisha Kituo cha Taifa cha Maonesho na Mikutano kuwa Hospitali ya muda (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 07, 2022
Shanghai yabadilisha Kituo cha Taifa cha Maonesho na Mikutano kuwa Hospitali ya muda

Watu wakifanya kazi katika Kituo cha Taifa cha Maonesho na Mikutano cha Shanghai, Mashariki mwa China, Aprili 6, 2022. (Xinhua/Ding Ting)

Shanghai inabadilisha Kituo cha Taifa cha Maonesho na Mikutano (NECC) kuwa hospitali ya muda ambayo inapangwa kuwa na uwezo wa vitanda 40,000. Itakapokamilika, hospitali hiyo inatarajiwa kuwa hospitali kubwa zaidi ya kutibu magonjwa wanaothibitishwa kuambukizwa virusi vya korona katika jiji hilo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha