99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu 6 wauawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu wa California (3)

(CRI Online) April 05, 2022
Watu 6 wauawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu wa California
(Picha inatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Takriban watu 6 wameuawa na wengine 9 kujeruhiwa katika tukio la ufyatuaji risasi huko Sacramento, mji mkuu wa California, nchini Marekani tarehe 3 alfajiri kwa saa za huko.

Polisi wa eneo hilo wamesema,mtu mmoja asiyejulikana alifyatua risasi kwa watu nje ya mgahawa mmoja katikati ya mji huo, na mshukiwa huyo alitoroka baada ya kufanya shambulizi hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha