99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Bei ya petroli nchini Marekani yaongezeka hadi kiwango cha juu zaidi tangu 2008 (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 08, 2022
Bei ya petroli nchini Marekani yaongezeka hadi kiwango cha juu zaidi tangu 2008
Hiki ni kituo kimoja cha kuuza petroli katika Millbrae, Eneo la Ghuba ya San Francisco, Marekani na picha ilipigwa Machi 6. (Xinhua/ Li Jianguo)

Takwimu zilizotolewa na Shirikisho la Magari la Marekani Tarehe 6 zilionesha kuwa wastani wa bei ya petroli huko Marekani uliongezeka hadi dola za Marekani 4.01 kwa galoni siku hiyo ambacho ni kiwango cha juu zaidi tangu Julai 2008.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha