99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wafugaji waliohama wakaribisha kwa furaha Mwaka Mpya wa jadi wa kabila la Watibet

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 02, 2022
 Wafugaji waliohama wakaribisha kwa furaha Mwaka Mpya wa jadi wa kabila la Watibet
Wafugaji waliohama wakichezangoma ya kabila lao kwenye uwanja kukaribisha Mwaka Mpya wa jadi wa kabila la watibet. (Februari 28)

Mwaka mpya wa jadi wa kabila la watibet unakaribia. Katika eneo la mwinuko wa juu kutoka usawa wa bahari la Rongma la Mji wa Gurong wa Wilaya ya Duilongdeqing, huko Lhasa Tibet, China walikohamishiwa, wafugaji wamenunua vitu na vyakula, wakiimba na kucheza ngoma kwa kukaribisha sikukuu ya mwaka mpya wa jadi ya watibeti.

Kituo cha uhamishaji watu cha Rongma chenye mwinuko wa juu kutoka usawa wa bahari ni cha mradi wa kwanza wa uhamishaji watu mkoani Tibet kutoka mahali penye mwinuko wa juu kwa sababu ya hifadhi ya mazingira ya asili. Kwa ajili ya kuboresha hali ya maisha ya watu wa Kijiji cha Rongma cha Wilaya ya Nima ya Mji wa Naqu na pia kutenga eneo kubwa zaidi la kuishi kwa wanyamapori wa Hifadhi ya Taifa ya Qiangtang. Mwezi Juni, Mwaka 2018, Serikali ya China ilipanga kuwafanya wafugaji zaidi ya 1000 waondoke kutoka kwenye maskani yao yaliyoko kwenye eneo lenye mwinuko wa juu wa mita 5000 kutoka usawa wa bahari na kuhamia kituo hicho. Majengo yenye ghorofa mbili yamekuwa nyumba zao mpya.

Kadri wanavyoishi mahali penye mwinuko wa chini kutoka usawa wa bahari, ndivyo maisha ya wafugaji yanavyoboreshwa. Mwaka 2021, wastani wa mapato ya kila mtu kati ya watu 1268 wa kituo hicho umefikia Yuan 19000. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha