99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Njia ya kale ya kusindika mafuta ya chai kurithi ufundi wa jadi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 30, 2021
Njia ya kale ya kusindika mafuta ya chai kurithi ufundi wa jadi
Wanakijiji wakipembua unga wa mbegu za camellia.

Karakana ya kusindika mafuta katika Kijiji cha Shangdu cha Wilaya ya Dao ya Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan imedumisha vifaa vya kale vya mbao vya kutengeneza mafuta. Kwa kupitia mchakato wa jadi wa kukausha mbegu za camellia, kukandia, kusaga na kutengeneza unga wa chai na kuchuja, wanakijiji wa huko hutengeneza mafuta ya rangi ya dhahabu ya camellia na kuuza kwenye masoko ya sehemu mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha