99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ushirikiano kati ya China na Afrika katika sekta ya Nishati safi wasaidia marekebisho ya muundo wa uchumi wa Afrika (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 29, 2021
Ushirikiano kati ya China na Afrika katika sekta ya Nishati safi wasaidia marekebisho ya muundo wa uchumi wa Afrika
Huu ni Mradi wa kuzalisha umeme kwa Nishati ya Photovoltaic wa Garissa wa Kenya. Picha ilipigwa Desemba 13, 2019. (Xinhua/Xie Han)

Hivi sasa nchi mbalimbali duniani zinapambana na mabadiliko ya hali ya hewa, na nchi za Afrika zinakabiliwa pia na somo la kurekebisha muundo wa uchumi ili kupunguza uchafuzi kwa mazingira. Ushirikiano kati ya China na Afrika katika sekta ya nishati safi umekuwa na historia ya miongo kadhaa. Katika miaka ya hivi karibuni, vituo vingi vya kuzalisha umeme vinavyowekezwa au kusaidiwa kifedha na China vimezinduliwa au vitazinduliwa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha