99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wilaya ya Wen, Henan: Urithishaji wa Michezo ya Kipekee ya China ya Karate ya Tai Chi watia fora shuleni (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 26, 2021
Wilaya ya Wen, Henan: Urithishaji wa Michezo ya Kipekee ya China ya Karate ya Tai Chi watia fora shuleni
Wanafunzi wa Wilaya ya Wen iliyoko Jiaozuo, Mkoa wa Henan wakicheza karate aina ya Tai Chi wakati wa darasa la michezo.

Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Wen ya Mji wa Jiaozuo mkoani Henan kwa kutumia nguvu yake bora ya chimbuko la michezo ya karate aina ya Tai Chi, imefanya michezo ya jadi ya karate ya Tai Chi kuwa somo la lazima kwenye mitaala ya elimu ya michezo ya shule za msingi na za sekondari, kufanya shughuli za mashindano ya mabadilishano ya Karate ya Tai Chi kati ya walimu na wanafunzi mara kwa mara ili kurithisha na kukuza utamaduni wa karate ya Tai Chi. Kwa sasa, kuna wanafunzi zaidi ya elfu 50 wanaojihusisha na michezo ya Karate ya Tai Chi katika shule za msingi na za sekondari za wilaya hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha