99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Picha: Bidhaa za utamaduni za COP15 zenye sura mpya zaongoza mtindo mpya wa kulinda mazingira (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2021
Picha: Bidhaa za utamaduni za COP15 zenye sura mpya zaongoza mtindo mpya wa kulinda mazingira
Mfuko huu unatumiwa kwenye mkutano huo, uilitengenezwa kwa katarasi na raslimali nyingine, na una sifa ya kutoloweshwa na maji na kupitisha hewa, yenyewe ni nyepesi na unaweza kutengenezwa kwa marudio bila kuleta uchafuzi kwa mazingira. (Tovuti ya Gazeti la Umma/Weng Qiyu)

Boksi jepesi la kuwekea chakula na kikombe cha kahawa vilivyotengenezwa kwa mabaki ya kahawa, “penseli ya daima” isiyotumia wino, rangi ya midomo inayotengenezwa kwa mimea……Katika ukumbi wa Mkutano wa 15 wa pande zilizosaini “Mkataba wa Anuwai ya Viumbe” (COP15) uliofanyika huko Kunming, mkoa wa Yunnan, bidhaa hizo za utamadani zenye sura mpya zilizotengenezwa kwa raslimali mbadala zisizo na uchafuzi kwa mazingira zimevutia watazamaji wengi.

 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha