99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Rais Xi Jinping afanya ziara ya ukaguzi huko Yulin mkoani Shaanxi (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2021
Rais Xi Jinping afanya ziara ya ukaguzi huko Yulin mkoani Shaanxi
(Picha zinatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Septemba 13, Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Xi Jinping alifanya ziara ya ukaguzi huko Yulin mkoani Shaanxi, ambako alikagua Kampuni ya kemikali ya Yulin ya Kundi la nishati la kitaifa, alitembelea Kijiji cha Gaoxigou kwenye eneo la mtaa wa Yinzhou wilayani Mizhi, na kutembelea kituo cha mapinduzi cha zamani cha Yangjiagou, na alifahamishwa kuhusu matumizi ya jumla ya mzunguko ya makaa ya mawe, kuhimiza kazi ya kudhibiti mmomonyoko wa udongo na ujenzi wa ustaarabu wa mazingira ya asili, kuimarisha uhifadhi na utumiaji wa vituo vya mapinduzi vya zamani, na kurithi moyo wa mapinduzi wa wanamapinduzi watangulizi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha