99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Marafiki wa roboti karibu nawe katika siku za baadaye (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 13, 2021
Marafiki wa roboti karibu nawe katika siku za baadaye
Hii ni roboti ya akili bandia ya gari la kupeleka vitu iliyooneshwa kwenye mkutano wa roboti.(Picha ilipigwa tarehe 10, Septemba.)

Mkutano wa Roboti wa Kimataifa wenye kaulimbiu ya “kunufaika pamoja na matunda mapya, kuongeza pamoja nguvu mpya ” ulifanyika Beijing kuanzia Tarehe 10 hadi 13 Septemba. Viwanda na taasisi za utafiti wa kisayansi zaidi ya 110 vilileta bidhaa zao zaidi ya 500 kushiriki kwenye mkutano huo wa maonesho, bidhaa hizo zote ni mpya zaidi zinazohusu matumizi kwenye sekta tofauti za huduma, viwanda na roboti maalum. Mpiga picha Li xin wa Shirika la Habari la China Xinhua.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha