99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Viongozi wa nchi mbalimbali waondoka Tianjin kuelekea Beijing kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya Ushindi ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2025
Viongozi wa nchi mbalimbali waondoka Tianjin kuelekea Beijing kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya Ushindi ya China
Waziri Mkuu wa Pakistan Bw. Shehbaz Sharif, ambaye yuko mjini Tianjin kuhudhuria Mkutano wa 2025 wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) anaondoka Tianjin kuelekea Beijing kuhudhuria maadhimisho ya miaka 80 ya ushindi wa mapambano ya watu wa China dhidi ya uvamizi wa Japan na Vita vya dunia vya kupinga Ufashisti, tarehe 1 Septemba 2025. (Xinhua/Guo Xulei)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha