99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Duka la "Chaguo kutoka Yiwu" lafunguliwa kwa mara ya kwanza mjini Nairobi, na kuleta chapa za China karibu na wateja?wa Kenya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2025
Duka la
Wateja wanafanya manunuzi kwenye duka la bidhaa kutoka Yiwu mjini Nairobi, Kenya, Agosti 29, 2025. Chaguo kutoka Yiwu, ni duka lenye bidhaa kutoka nje ya nchi, lililofunguliwa rasmi Ijumaa mjini Nairobi, kutambulisha bidhaa za China zenye ubora wa juu na bei nafuu kwa wateja wa Kenya. (Xinhua/Han Xu)

NAIROBI – Chaguo kutoka Yiwu, ni duka lenye bidhaa kutoka nje ya nchi, lililofunguliwa rasmi Ijumaa mjini Nairobi, likitambulisha bidhaa za China zenye ubora wa juu na bei nafuu kwa wateja wa Kenya.

Mji wa Yiwu, Mkoani Zhejiang, ni kituo cha kimataifa cha utengenezaji wa bidhaa unaojulikana kwa kutoa bidhaa zenye ubora wa juu na gaharama nafuu.

Duka hilo la Nairobi, duka la kwanza la Chaguo kutoka Yiwu barani Afrika, likiwa kwenye jumba kubwa la maduka la China Square kwenye Waterfront Mall mjini Nairobi. Duka hilo lina bidhaa za wanawake kama vile vipodozi, nguo za mitindo, nguo za ufukweni, na vifaa vya nyumbani.

Zaidi ya chapa 20 za Yiwu tayari ziko kwenye rafu, kwenye makundi mbalimbali kama vifaa vya nyumbani, vifaa vya kidijitali na vito.

Naibu meya wa mji wa Yiwu, Bw. Shao Chunhong, akizungumza kwenye uzinduzi wa duka hilo, amesema bidhaa za Yiwu zenye ubora wa juu na bei nafuu zinafaa soko la Afrika, na kufunguliwa kwa duka hilo kunaendana na dhamira pana ya China ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara na Afrika.

Meneja mkuu wa Masuala ya Kisheria na Biashara katika Mamlaka ya Uwekezaji ya Kenya Bibi Olivia Rachier, amekaribisha hatua hiyo kuwa ni hatua muhimu, na kusema Kenya inakaribisha uwekezaji wa China katika sekta mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha