99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Madaraja mjini Lhasa yaonesha maendeleo ya Xizang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2025
Madaraja mjini Lhasa yaonesha maendeleo ya Xizang
Picha inaonesha madaraja kwenye Mto Lhasa mjini Lhasa, kusini-magharibi mwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, China, Julai 30, 2025. (Xinhua/ Jiang Fan)

LHASA, Agosti 5 (Xinhua) -- Daraja la kwanza kwenye Mto Lhasa lilijengwa huko Lhasa, kusini-magharibi mwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, China katika miaka ya 1950, na kukomesha matumizi ya vivuko vya ngozi vya kondoo. Kwa sasa kuna madaraja mengi mjini Lhasa, yanayoonyesha maendeleo ya haraka ya eneo hilo katika uchukuzi na maendeleo ya miji.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)

Picha