99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mji wa Harbin, China unaunga mkono makampuni ya ndani kufanya mageuzi ya kiteknolojia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2025
Mji wa Harbin, China unaunga mkono makampuni ya ndani kufanya mageuzi ya kiteknolojia
Picha hii iliyopigwa tarehe 2 Julai 2025 inaonesha jenereta ya maji ya 500MW iliyotengenezwa na China kwa kujitegemea kwenye kiwanda cha Mashine za Umeme cha Harbin, Mkoani Heilongjiang kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Wang Jianwei)

Katika miaka ya hivi karibuni, Harbin, moja ya maeneo ya jadi ya viwanda nchini China, imekuwa ikitumia teknolojia ya kidijitali na kisasa kama njia muhimu ya kuboresha sekta yake ya jadi.

Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, mji huo umewekeza jumla ya yuan milioni 500 (sawa na dola milioni 69 za Kimarekani) kusaidia biashara za ndani kufanya mabadiliko ya kiteknolojia, na ukuaji wa wastani wa asilimia 20 kwa mwaka katika uwekezaji kama huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha