99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yaizindua kampuni?ya magari ya Changan kuwa kampuni ya kiviwanda ya serikali kuu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2025
China yaizindua kampuni?ya magari ya Changan kuwa kampuni ya kiviwanda ya serikali kuu
Picha hii iliyopigwa tarehe 29 Julai 2025 ikionyesha hafla ya uzinduzi wa Kundi la kampuni za kuunda magari za Changan la China mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Chen Cheng)

BEIJING - Kamati ya usimamizi wa mali za serikali ya China jana Jumanne imetangaza uzinduzi wa Kundi la Kampuni za Kuunda Magari za Changan kuwa kampuni ya kiviwanda inayomilikiwa na serikali kuu (SOE).

Hatua hiyo inaleta jumla ya idadi ya kampuni za kiviwanda zinazomilikiwa na serikali kuu ya China kufikia 100, na kuiweka kampuni hiyo kuwa SOE ya serikali kuu ya tatu ya nchi hiyo katika sekta ya magari, ikiungana na Kundi la Kampuni za Magari za FAW na Kampuni ya Magari ya Dongfeng.

Kampuni hiyo ina matawi 117, yenye biashara zinahusika na masuala ya magari na vipuri vya magari, pikipiki, na huduma za mambo ya fedha na uchukuzi.

Itazingatia katika kukuza nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora kama vile roboti za gari za AI na ujumuishi wa AI. Inatarajiwa pia kuharakisha upanuzi wa kimataifa, ikilenga masoko kama vile Asia Kusini Mashariki, Mashariki ya Kati, Ulaya, na Amerika ya Kati na Kusini.

Wafuatiliaji wa sekta hiyo wanaona hatua hiyo ni muhimu katika juhudi pana za China za kuleta mageuzi katika SOEs za serikali kuu na kugawa mtaji wa serikali kwa njia iliyoboreshwa, wakati huohuo pia ikiimarisha uwezo wa ushindani wa kimataifa wa sekta ya magari ya nchi hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha