99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wanajeshi wa China wajiunga na juhudi za kutoa msaada kwenye maeneo yaliyokumbwa na mafuriko (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2025
Wanajeshi wa China wajiunga na juhudi za kutoa msaada kwenye maeneo yaliyokumbwa na mafuriko
Picha hii iliyopigwa kwa simu ya mkononi ikionyesha askari wa Jeshi la Ukombozi wa Umma la China wakiwasili kukarabati barabara zilizobomoka katika kijiji kimoja cha Wilaya ya Luanping ya Mji wa Chengde, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Julai 29, 2025. (Picha na Hou Yuchun/Xinhua)

Jeshi la Ukombozi wa Umma la China, Jeshi la Polisi la China na wanamgambo wenyeji yametuma askari kujiunga na kazi ya utoaji msaada katika maeneo yaliyokumbwa na mafuriko nchini China.

Hivi karibuni, mvua kubwa mfululizo imeathiri maeneo ya mashariki, kaskazini na kaskazini mashariki mwa China, ikisababisha mafuriko na majanga ya kijiolojia ambayo yamesababisha vifo na majeruhi na hasara kubwa za mali. (Picha na Di Bowen/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha