

Lugha Nyingine
Katika picha: Eneo la ujenzi wa daraja kubwa kwenye Reli ya Mwendokasi ya Xi'an-Ankang Kaskazini Magharibi mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2025
Kazi zote za uwekaji boriti la muundo wa boksi kwa ajili ya madaraja kwenye ya Reli ya Mwendokasi ya Xi'an-Ankang katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China zimekamilika kufikia jana Jumatatu, ikiweka msingi imara wa ujenzi ulioendelea. Njia hiyo ya reli ina urefu wa kilomita 171 ikiwa imeundwa kupitisha treni kwa kasi ya kilomita 350 kwa saa. Wakati itakapoanza kufanya kazi, itarahisisha kwa kiasi kikubwa usafiri kwa wakazi kando ya njia hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma