99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya sanaa ya China na Russia yaanza Heihe, Heilongjiang, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2025
Maonyesho ya sanaa ya China na Russia yaanza Heihe, Heilongjiang, China
Picha iliyopigwa Juai 26, 2025 ikionyesha maonyesho ya sanaa ya China na Russia huko Heihe, katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China. (Picha na Zhao Donglai/Xinhua)

Maonyesho ya 15 ya sanaa ya China na Russia yameanza rasmi Jumamosi huko Heihe, katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China yakiwa na shughuli zaidi ya 40 kwa ujumla, yakihimiza mawasiliano ya kitamaduni na ushirikiano wa kikanda kati ya nchi hizo mbili. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha