99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Washiriki wa Mkutano wa Vyombo vya Habari na Washauri Bingwa wa SCO watembelea sehemu mbalimbali ya Henan, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 25, 2025
Washiriki wa Mkutano wa Vyombo vya Habari na Washauri Bingwa wa SCO watembelea sehemu mbalimbali ya Henan, China
Mshiriki wa Mkutano wa Vyombo vya Habari na Taasisi za Washauri Bingwa wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) akijaribu kuendesha gari kwa VR kwenye Kampuni ya Mabasi ya Yutong huko Zhengzhou, Mkoa wa Henan, katikati mwa China, Julai 24, 2025. (Xinhua/Li Jianan)

Mkutano wa Vyombo vya Habari na Taasisi za Washauri Bingwa wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umekuwa ukifanyika katika Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan, katikati mwa China kuanzia Julai 23 na umepangwa kuendelea hadi Julai 27. Washiriki wamealikwa kutembelea sehemu mbalimbali za mkoa huo wa Henan katika wakati wa mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha