99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mazungumzo Kati ya staarabu tofauti Miongoni mwa Nchi za SCO 2025 Yafanyika Tianjin, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2025
Mazungumzo Kati ya staarabu tofauti Miongoni mwa Nchi za SCO 2025 Yafanyika Tianjin, China
Picha hii iliyopigwa tarehe 23 Julai 2025 ikionyesha shughuli kwenye Mazungumzo Kati ya Staarabu tofauti Miongoni mwa Nchi za Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) 2025 mjini Tianjin, kaskazini mwa China. (Xinhua/Li Ran)

Mazungumzo Kati ya Staarabu tofauti Miongoni mwa Nchi za Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) 2025 yamefanyika mjini Tianjin, kaskazini mwa China jana Jumatano yakivutia washiriki wapatao 300 kutoka ndani na nje ya China. Shughuli za pembezoni zikiwemo za maonyesho ya maandishi ya Lugha ya Kichina, maonyesho ya sanamu, na maonyesho ya urithi wa utamaduni usioshikika pia zimefanyika kwenye mazungumzo hayo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha