99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Waziri Mkuu asema China inasimama kidete kutetea haki zake na usawa wa kimataifa dhidi ya shinikizo la ushuru la Marekani

(CRI Online) Julai 08, 2025

Ikikabiliwa na shinikizo la ushuru la Marekani, China inasimama kidete kutetea haki na maslahi yake na kushikilia usawa na haki ya kimataifa, Waziri Mkuu wa China Li Qiang amesema jana Jumatatu alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) Ngozi Okonjo-Iweala.

Waziri Mkuu Li amekutana na mkurugenzi mkuu huyo wa WTO pembezoni mwa Mkutano wa 17 wa Kilele wa BRICS uliofanyika kwa siku mbili za Jumapili na jana Jumatatu mjini Rio de Janeiro, Brazil.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha