99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Waziri Mkuu wa China kuhudhuria mkutano wa 17 wa kilele wa nchi za BRICS nchini Brazil, na kufanya ziara Misri

(CRI Online) Julai 04, 2025

Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ya China Mao Ning ametangaza jana Alhamisi kuwa waziri mkuu wa China Li Qiang atahudhuria Mkutano wa 17 wa kilele wa nchi za BRICS mjini Rio de Janeiro, Brazil kuanzia Julai 5 hadi 8.

Msemaji huyo pia amesema, kwa mwaliko wa waziri mkuu wa Misri Mostafa Kamal Madbouly, Li pia atafanya ziara rasmi nchini Misri kuanzia Julai 9 hadi 10.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha