99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Hifadhi ya Kitaifa ya Mazingira ya Asili ya Mto Naoli wa China makazi makuu kwa ndege wa kuhama hama

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 10, 2025
Hifadhi ya Kitaifa ya Mazingira ya Asili ya Mto Naoli wa China makazi makuu kwa ndege wa kuhama hama
Picha hii iliyopigwa Juni 7, 2025 ikionyesha vifaranga wawili wa korongo wenye taji jekundu wakifuata wazazi wao katika kutafuta chakula kwenye Hifadhi ya Kitaifa ya Mazingira ya Asili ya Mto Naoli, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Picha na Sheng Jingli/Xinhua)

Hifadhi ya kitaifa ya mazingira ya asili ya Mto Naoli iko kwenye Uwanda wa Sanjiang katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, sehemu ya hifadhi hiyo ni makazi makuu ya ndege wa kuhama hama katika eneo la Kaskazini-Mashariki mwa Asia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha