99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Handaki muhimu la reli lakamilisha ujenzi Mjini Chongqing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 05, 2025
Handaki muhimu la reli lakamilisha ujenzi Mjini Chongqing, China
Mfanyakazi akifanya kazi yake kwenye handaki la Mlima Zhongliang, mradi muhimu katika njia namba 15 ya Reli ya Chongqing, katika Mji wa Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Juni 3, 2025. (Xinhua/Chen Cheng)

Handaki la Mlima Zhongliang lenye urefu wa mita 4,944, handaki refu zaidi lililochimbwa kwa mbinu ya uchimbaji wa madini katika kipindi cha pili cha mradi wa njia namba 15 ya Reli ya Chongqing, limefikia hatua kubwa kwenye kukamilisha ujenzi juzi Jumanne, ikionyesha upigaji hatua kubwa katika ujenzi wa njia hiyo ya reli ya kwanza ya huduma za usafiri wa kasi ya mji huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha