99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Miradi ya uhuishaji yaleta uhai mpya katika maeneo ya Mji Tianjin, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 04, 2025
Miradi ya uhuishaji yaleta uhai mpya katika maeneo ya Mji Tianjin, China
Watalii wakifanya manunuzi kwenye jengo la kibiashara lililobadilishwa kutoka viwanda vya zamani katika eneo la Kiwanda cha Matrekta cha Tianjin, mjini Tianjin, kaskazini mwa China, Mei 30, 2025. (Xinhua/Sun Fanyue)

TIANJIN – Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China umetekeleza kikamilifu mpango wa uhuishaji na kuboresha kwa maeneo ya katikati mwa mji katika miaka ya hivi karibuni, ambapo jumla ya maeneo 40 ya mjini yamepangwa hadi kufikia sasa, yakitilia mkazo katika ukarabati wa maeneo ya makazi ya zamani, uhifadhi na matumizi ya mabaki ya maeneo ya kale ya viwanda na utumiaji tena wa miundombinu isiyotumika.

Kupitia mradi huo wa uhuishaji, mji wa Tianjin unalenga kuboresha hali ya maisha ya watu, kuhifadhi na kuenzi urithi wa kihistoria, kuhimiza uhuishaji wa viwanda na kupanua nafasi mpya ya mjini, ikileta uhai kwenye maendeleo bora ya hali ya juu ya mji huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha