99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Sikukuu?ya Mashua ya Dragoni yasherehekewa kote China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 03, 2025
Sikukuu?ya Mashua ya Dragoni yasherehekewa kote China
Picha iliyopigwa Mei 31, 2025 ikionyesha mashua ya dragoni zikiwa zimekusanyika kwenye kingo za Mto Jialing katika Mji wa Langzhong, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China. (Picha na Wang Yugui/Xinhua)

Sikukuu ya Mashua ya Dragoni, ambayo pia inajulikana kwa jina la Sikukuu ya Duanwu kwa Kichina, ni sikukuu ya jadi ya China kumkumbuka mshairi wa China ya kale Qu Yuan kutoka Enzi ya madola ya kivita (475-221). Ikiwa inasherehekewa siku ya tano ya mwezi wa tano kwa kalenda ya kilimo ya China, sikukuu hiyo, kwa mwaka huu iliangukia Mei 31 ambapo Wachina walikuwa na mapumziko ya siku tatu yaliyofikia tamamati jana Jumatatu. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha