99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Daraja kubwa la Tianmen laendelea kujengwa katika Mkoa wa Guizhou wa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 30, 2025
Daraja kubwa la Tianmen laendelea kujengwa katika Mkoa wa Guizhou wa China
Picha hii iliyopigwa kwa droni tarehe 28 Mei 2025 ikionyesha daraja kubwa la Tianmen linaloendelea kujengwa katika Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Tao Liang)

Daraja kubwa la Tianmen lenye urefu wa mita 1,553 ni mradi mkubwa kwenye barabara kuu inayounganisha miji ya Anshun na Panzhou katika Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China.

Baada ya kukamilika kwa ujenzi, barabara kwenye daraja hilo yenye urefu wa mita 560 kutoka usawa wa bahari katika bonde chini yake, itawezesha magari kuendeshwa kwa kasi ya kilomita 100 kwa saa. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha