99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mji wa Yiwu, China waingia kilele cha pilika za uzalishaji bidhaa za Krismasi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2025
Mji wa Yiwu, China waingia kilele cha pilika za uzalishaji bidhaa za Krismasi
Mfanyakazi akifungasha nguo za Krismasi. (Wang Gang/China News)

Hivi karibuni, katika Mji wa Yiwu, mkoani Zhejiang, China, mji kituo muhimu cha usambazaji bidhaa za Krismasi duniani, “uchumi wa Krismasi” hatua kwa hatua umeanza kuwa na hali moto moto na kampuni na viwanda vingi vimeingia kipindi cha kilele cha pilika nyingi za uzalishaji bidhaa za mapambo ya Krismasi, ili kukidhi mahitaji ya oda kutoka soko la kimataifa.

Takwimu zinaonesha kuwa, katika robo ya kwanza ya mwaka huu, thamani ya jumla ya biashara ya uagizaji na uuzaji nje bidhaa ya Yiwu ilifikia Yuan bilioni 167.45 (sawa na Dola za Marekani bilioni 23.26), miongoni mwa hiyo, ile ya biashara na nchi za ASEAN na Umoja wa Ulaya iliongezeka kwa asilimia 16.1 na 16.5 mtawalia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha