99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wanafunzi wa Kimataifa wahudhuria washiriki shughuli za kitamaduni kabla ya Sikukuu ya Duanwu mjini Chongqing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2025
Wanafunzi wa Kimataifa wahudhuria washiriki shughuli za kitamaduni kabla ya Sikukuu ya Duanwu mjini Chongqing, China
Wakazi wenyeji na wanafunzi wa kimataifa wakijaribu kutengeneza vifuko vya uturi katika mji wa kale wa Fengsheng wa Eneo la Banan la Mji wa Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Mei 28, 2025. (Xinhua/Chen Cheng)

Wakazi wenyeji na wanafunzi wa kimataifa zaidi ya 200 kutoka Chuo Kikuu cha Chongqing katika Mji wa Chongqing, China wameshiriki katika shughuli ya kujaribu na kuuhisi utamaduni kabla ya Sikukuu ya Duanwu.

Sikukuu ya Duanwu pia inajulikana ni Sikukuu ya Mashua ya Dragon, ikiwa moja kati ya sikukuu za jadi za China. Sikukuu hiyo husherehekewa kila ifikapo siku ya tano ya mwezi wa tano kwa kalenda ya kilimo ya China, na mwaka huu itakuwa tarehe 31, Mei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha